Slider[Style1]

Style2

Style3[OneLeft]

Style3[OneRight]

Style4

Halmashauri ya Manispaa ya Temeke, Imezindua MFUMO wa kukusanya kodi  mbalimbali mbalimbali zinazolipwa kupitia  Kampuni ya Max Com. 

hayo yalifanyika tarehe 29/06/2015 Siku ya jumatatu katika UKUMBI mkubwa wa Manispaa yaTemeke Max MALIPO itamuwezesha mlipa kodi kutopoteza muda wake kwenda Hadi Makao makuu ya Manispaa ya Temeke, kwenye tawi letu la benki tawi la CRDB AGENCY , ambalo kuna misululu mirefu. Na hi yo kupoteza muda. 
Hivi sasa Mlipa kodi anaweza kwenda katika ofisi ya Kata yake na kulipia hapo, na kupata risiti. 
Mgeni Rasmi Laurence Mlangwa akizindua MFUMO huo alisema kuwa , Hii ni mmoja ya mikakati ya Halmashauri ya Manispaa ya Temeke kukusanya kodi kwa njia rahisi ila wananchi waelimishwe ili kutembea jambo Hilo .kwa mafanikio. 
Halmashauri ya Manispaa ya Temeke imekadiria kukusanya  shillingi za Kitanzania   zaidi ya bilioni 40 Kama Mapato yake ya Ndani  katika mwaka wa fedha 2015/2016.
Tumaini E. Mrango, Mwekahazina wa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke, ndiye Mkuu wa Idara ya Fedha na Biashara Manispaa ya Temeke.
Photidas A. Kagimbo ( anayehojiwa ) ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke.akizungumzia juu ya raid a za wananchi wa Temeke kulia kodi kupitia Max MALIPO.
Edwin Owawa, Mchambuzi wa Mitambo, (IT) wa Manispaa ya Temeke, Akiitoa maelezo juu ya MFUMO wa Max MALIPO unavyofanya kazi endapo mlipa kodi atalipa kodi yake iwe kodi ya Huduma , kodi ya Majengo , kodi ya biashara na nyinginezo. Taarifa hiyo itasomwa mmoja kwa mmoja katika ofisi Makao makuu ya Manispaa kupitia  MFUMO wa Mapato MRECOM.( Municipal Revenue Collection Manager). 
na kwamba njia hii ni salama, hakuna mainya ya kupoteza Mapato yanayoingia.
Bwana Edwin Owawa akielezea jiinsi MALIPO yaliyofanyika kwenye machine na papa hapo inasomeka Kama inavyoonekana kupitia 'projector'.

watendaji wa Kata na Mitaa, wakuu wa Idara na Vitengo, na baadhi ya wananchi ukumbi wa Manispaa ya ya Temeke Siku ya UZINDUZI wa MFUMO wa Kukusanya kodi wa Max MALIPO wakifuatilia maelezo.

Mgeni Rasmi Katibu Tawala wa Wilaya  ya Temeke 
kwa niaba ya MKUU wa WILAYA , Laurence Mlangwa Akiitoa maelezo wakati akizindua MFUMO wa kukusanya kodi Max MALIPO ukumbi wa Manispaa ya Temeke

Mheshimiwa Diwani Kata ya Kurasini Mh. Alfred M. Kamati , katika Picha na Afisa Habari Lynn Chawala  wakati wa UZINDUZI wa Max MALIPO ukumbi wa Manispaa
Mh. Jumanne Mkenga Naibu Meya Manispaa ya Temeke, akizungumza juu ya manufaa ya kutumia MFUMO wa Max MALIPO Siku ya UZINDUZI
Mtaalam wa Max MALIPO Akiitoa maelezo juu ya machine hiyo unavyofanya kazi na na na gani Halmashauri itanufaika kwa kutumia MFUMO huu.
Ukumbi wa Manispaa ya Temeke. 

Kuhusu Manispaa Ya Temeke

Manispaa ya Temeke imegawanywa katika Majimbo makuu mawili; Kigamboni na Temeke yaliyogawanyika zaidi mara 3; Chang'ombe, Mbagala na Kigamboni. | Bonya Hapa Kwa Zaidi
«
Mbele
Mbele
»
Nyuma
Nyuma

No comments:

Maoni Yako Hapa: